Mchambuzi wa kijeshi wa Ukraine Mykola Bieleskow amesema kuwa kuharibiwa kwa Daraja la Kerch kunaleta changamoto ya kimkakati kwa Urusi.